Read Anywhere and on Any Device!

Subscribe to Read | $0.00

Join today and start reading your favorite books for Free!

Read Anywhere and on Any Device!

  • Download on iOS
  • Download on Android
  • Download on iOS

Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine

Alifa Chokocho
3.52/5 (31 ratings)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyngine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zilizoandikwa na waandishi waliobobea na wale wanaochipuka katika uandishi wa utanzu wa hadithi fupi. Hadithi katika mkusanyo huu zimeandikwa kwa ubunifa na kwa kuzingatia maswala ibuka katika jamii inayokwenda na utandawazi na usasaleo.

Mkusanyo huu unaangazia maudhui mbalimbali kama vile: siasa, dini, ulemavu, masuala ya kijinsia, elimu, ukware, ulaghai, uchumi, mazingira, umaskini, uongozi, ukabila, mapenzi, ndoa, usirikina miongoni mwa mengine. Masuala yaliyoshughulikiwa katika mkusanyo huu yataibua ilhamu ya msomaji, msomi, mtafiti na wanafunzi katika maisha yao.

Maudhui, mtindo, lugha na uhusika ni viungo vilivyosukwa kwa namna ya kipekee katika mkusanyo huu.

Wahariri - wakusanyaji wa mkusanyo huu ni waandishi na watunzi wa kazi za fasihi wenye tajiriba na uzoefu wa muda mrefu. Mafunzo ya hadithi katika mkusanyo huu yanawagusa watoto, watu wazima, vikongwe, wageni na wenyeji.
Format:
Paperback
Pages:
169 pages
Publication:
2019
Publisher:
Longhorn Publishers
Edition:
Language:
swa
ISBN10:
996631573X
ISBN13:
9789966315731
kindle Asin: